JESHI la Polisi Wilaya ya Morogoro limezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliokuwa unatarajiwa kufanyika kesho Jumapili, Juni 16, 2019, kwa kile kilichodaiwa sababu za kiusalama.