Rais John Magufuli amemteua Wakili Julius Kalolo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), akichukua nafasi ya Michael Nyagoga ambaye uteuzi wake umetenguliwa.