Ni kisa cha kusisimua cha Binti (Jina linahifadhiwa) mwenye umri wa miaka 16, ambaye amemaliza darasa la saba na kushindwa kundelea na masomo ya Sekondari, aliyekuwa akiishi na wazazi wake ambao baadae walitengana na kusababisha maisha ya mtoto huyo kuyumba na baadaye kujiingiza katika biashara ya kuuza mwili (ukahaba).