×

CARDI B ANYAKUA TUZO YA ALBUM BORA YA MWAKA

RAPA wa kike kutoka pande za Marekani Belcalis Marlenis Almanzar a.k.a Cardi B ameshinda Tuzo ya Album bora ya mwaka kupitia Album yake ya kwanza kabisa iitwayo “Invasion of Privacy”

Mbali na Tuzo hiyo, Invansion of  Privacy pia ilishinda Tuzo ya Album bora ya HipHop kwenye Grammys mwaka huu. Zoezi la ugawaji wa tuzo za BET limefanyika usiku wa kuamkia leo jana  mjini Los Angles nchini Marekani.