×

LIVE: JPM Azindua Ghala, Mitambo ya Gesi Kigamboni – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo June 25, 2019, anazindua ghala na Mitambo ya Kuchakata Gesi ya LPG ya Taifa Gas Tanzania Limited katika eneo la Vijibweni Kigamboni Jijini Dar es salaam.