BINTI aliyejitambulisha kwa jina la Tatu, kutoka jijini Arusha ameamua kuuza mikoba yake yote ili apate fedha zitakazosaidia kununua taulo za kike (pedi) kwa watoto wa kike wanaoishi kwenye mazingira magumu.
Ili kupata mengi zaidi pata video hapo chini: