×

Mwijaku Afunguka: Alikiba Hajamuacha Mkewe / Diamond Hawezi Kuoa -Video

Muigizaji wa filamu Bongo, Mwijaku, ambaye kwa sasa anatamba na tamhiliya yake ya ‘Mahaba’, amepiga stori na Global TV na kuizungumza tamhiliya yake mpya pamoja na soko zima la filamu.

 

Mwijaku pia amezungumzia kuhusu na ndoa ya mwanamuziki Alikiba inayodaiwa kuvunjika, akiwa kama mtu wa karibu na Kiba, amesema ndoa hiyo haijavunjika isipokuwa kuna migogoro ya hapa na pale inayosababishwa na mwanamke huyo kutokubaliana na ukweli kwamba mumewe ni supastaa wa dunia.

 

MWIJAKU Afunguka – ‘ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA”