×

Rais Kenyatta Kumfuata JPM Chato

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajia kufanya ziara binafsi ya siku mbili nchini Tanzania itakayoanza Ijumaa, Julai 5 katika Wilaya ya Chato mkoani Geita ambako atakutana na Rais John Magufuli ambaye yuko katika mapumziko.

MWIJAKU Afunguka – ‘ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA”