Fainali ya shindano la Miss Kinondoni inatarajiwa kufanyika Jumamosi hii ya Julai 13, katika ukumbi wa Life Park uliopo Mwenge jijini Dar.