×

JPM Asimama Barabarani Kusikiliza Kero za Wananchi – Video

Rais Dkt John Magufuli, ameanza ziara yake Mkoani Kagera mapema leo ambapo amesimama barabarani na kuzungumza na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero zao.