
MECHI za kufuzu kwa ajiliya fainali za AFCON 2021 zitakazofanyika nchini Cameroon zimeanza, ambapo shirikisho la soka Afrika (CAF) limechezesha droo ya kupanga makundi ya awali ya kuwania kufuzu fainali hizo usiku wa kuamkia leo nchini Misri.
Tanzania imepangwa Kundi J na timu za Libya, Equaitorial Guinea na Tunisia hivyo watakaomaliza nafasi mbili za juu katika kundi hilo watafuzu kucheza fainali hizo.