KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA! Ungekuwa wewe au mimi baada ya kupata ajalli hiyo mbaya ungekata tamaa ya Maisha, lakini kwa Mohamed Rashid Mrisho ’18’ ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Pugu Jijini Dar es salaam haikuwa hivyo bali aliendelea kuishi kwa matumaini na kufanya maajabu , Global TV Online inamkasa mzito wa kijana huyu.
UNAWEZA KUMCHANGIA CHOCHOTE KUPITIA NAMBA
0753- 811239