×

VIDEO MPYA: MARIOO – RAHA

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye gemu ya Muziki wa Bongo Fleva,  Marioo baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ”Inatosha” sasa ameachia video ya nyimbo yake mpya inaitwa ‘Raha’.