×

TANZANIA MPYA: MGANGA AWAPA MIMBA NDUGU WATATU – VIDEO


Tanzania Mpya ni Tamthilia ya kusisimua iliyojaa stori za mapenzi za vijana, stori za viongozi wa kijiji, walimu na watendaji wengine zikihusisha utendaji kazi wa serikali ya Rais Dkt JOHN POMBE MAGUFULI na SERIKALI ya AWAMU YA TANO….fuatilia simulizi hizi zilizojaa visa, mikasa na vituko vya kusisimua, kila wiki JUMAMOSI SAA 10:30 ALASARI, GLOBAL TV ONLINE PEKEE! Waigizaji ni kikundi cha PAMOJA SANAA GROUP cha jijini DAR ES SALAAM.