Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Juni 29, 2019 amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), ambaye anachukua nafasi ya Bw.Sam Kamanga ambaye uteuzi wake umetenguliwa.