×

VIDEO: WAZIRI KIGWANGALA ASIKILIZA KERO ZA WADAU WA MISITU

Waziri mwenye dhamana ya maliasili na utalii, Dkt Hamis Kigwangala, leo Julai 30, anafanya mkutano na wadau wa Sekta ya Misitu na kusikiliza changamoto zao.