Timu ya Simba SC Agosti 6, 2019 imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Power Dymos FC ya Zambia Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wafungaji ni Meddie Kagere 3′ 58′, 73′ na Jimmy Dlingai 23′