×

Video Mpya : Ommy Dimpoz ft MwanaFA – Hello

Msanii  anaefanya vizuri kwenye gemu la muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya inayojulikana kwa jina la Hello ambayo amemshirikisha rapa mkongwe Mwana Fa.