×

Goodluck Gozbert Kaacha Gospo? – Video

Wimbo mpya wa Msanii wa nyimbo za Injili Goodluck Gozbert uliotoka siku 4 zilizopita na baadhi ya watu kuupokea kwa mitazamo tofauti tofauti. Wengi wameshangazwa na uchezaji wa watu kwenye video huyo na kufananisha wa wachezaji wa muziki wa Bongo Fleva.