UONGOZI wa timu ya Yanga wametangaza nafasi za kazi mbili ikiwemo ya Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten na Ofisa wa kuamasisha mashabiki wa timu hiyo.