×

VIDEO: Miriam Odemba Atambulisha Foundation Yake

Mwanamitindo Miriam Odemba amekuja na taasisi yake ijulikanayo kama MIRIAM ODEMBA FOUNADATION ikiwa na lengo la kuwasaidia wanafunzi wa kitanzania waishia katika hali ngumu.