×

VIDEO MPYA: BILLNASS feat NANDY – BUGANA

Msanii wa muziki Bongo, Nandy ameingia kwenye headlines usiku wa kuamkia leo Agosti 31, 2019 baada ya Bill Nass kuachia video yake ya ‘BUGANA’ wakiwa wanaimba pamoja.