RAIS John Magufuli leo Alhamisi, Septemba 5, 2019, amemtembelea na kumjulia hali Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda, anayepatiwa matibabu Jijini Dar es Salaam.