×

Magufuli Atangaza Siku 3 Maombolezo ya Mugabe

Rais Dkt John Magufuli ametangaza siku 3 za maombolezo ya kitaifa kuanzia Septemba 6 kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Zimbabwe, Robert Mugabe. Rais Dkt Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC amesema katika siku hizo za maombolezo, bendera zitapepea nusu mlingoti.