Mwanamuziki mkongwe Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mkewe, Desderia Haule, Septemba 7, 2019 wamefunga ndoa katika Kanisa Takatifu Katoliki Parokia ya Bikira Maria, Sinza, jijini Dar.

Full Video: NDOA Ya BABU SEYA ILIVYOFANYIKA Leo KANISANI SINZA