– Rais Magufuli amemteua Dkt. Amina Suleiman Msengwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)
– Dkt. Msengwa ni Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Takwimu ya Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM)