×

Baba wa Nelson Aliyefariki na Mtoto wa Mabeyo, Anatia Huruma – Video

Wilibart Olotu, baba mzazi wa marehemu Nelson Olotu amelezea kwa masikitiko taarifa za kufariki kwa mtoto wake na kuelezea ratiba ya mazishi itakavyokuwa.

 

Nelson Olotu alifariki pamoja na Nelson Mabeyo, mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo katika ajali ya ndege ya Kampuni ya Auric iliyotokea Jumatatu, Septemba 23, asubuhi, baada ya kuanguka katika uwanja mdogo wa ndege wa Seronera uliopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti nchini Tanzania wakati ikipaa katika uwanja huo kwenda mkoani Arusha.

 

TAZAMA ALICHOKIZUNGUMZA MZEE OLOTU