×

JPM Afanya Uteuzi Bodi ya Gesi, NIT, UDSM & NIMR

Rais Dkt. John Magufuli amteua Dkt. Leonard Chamriho kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Uwekezaji na Mapato ya Mafuta na Gesi, pamoja na wajumbe wanne wa bodi hiyo.