×

Familia ya Mugabe Yaigomea Serikali, Yaweka Msimamo

FAMILIA ya aliyekuwa rais wa Zimbabwe, hayati Robert Mugabe, imebadili msimamo wake na kuamua kuwa mwili wa kiongozi huyo utazikwa nyumbani kwake katika Mkoa wa Zvimba.

 

Awali familia ilikubaliana na serikali kuwa mwili wa Mugabe ungezikwa katika makaburi ya mashujaa jijini Harare.