×

Breaking: Nchimbi Aongezwa Stars, Baada Ya Kuifunga Mabao Matatu Yanga

Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragie, amemuongeza katika kikosi cha Taifa Stars, mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi.