Tigo Fiesta 2019 _SaiziYako Muleba ,burudani mwanzo mwisho
Global Publishers October 7, 2019
SHARE THIS:
Msanii wa Bongo fleva Maua Sama, akitoa burudani kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.
Bill Nas na Nandy wakitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo FiestaMsanii wa Bongo fleva Dogo Janja,akitoa burudaniBaadhi ya mashabiki wakionyesha shangwe la levels za Saizi Yako kwenye tamasha la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani KageraSaida Karoli na Chege Chigunda, wakitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.