Mwanamitindo Hamisa Mobetto anaefanya vizuri kwenye gemu la muziki wa bongo fleva, ameachia video ya nyimbo yake mpya inayoitwa “Sensema” akiwa amemshirikisha Whozu.