Tamasha la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako lafana Sumbawanga
Global Publishers October 15, 2019
SHARE THIS:
Mtangazaji wa kipindi cha Double XXL kinachorushwa na radio ya crouds fm ambaye alikuwa moja washereheshaji katika tamasha la Tigo Fiesta Sumbawanga akiwa na wapenzi wa kipndi hicho kutoka Sumbawanga
Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dr Alfani Haule akiburudika na mziki katika jukwaa la Tigo FiestaDkt. Khalfan Haule akimtambulisha Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga mjini Mh Aeshi HilalyMsanii wa muziki wa injili Goodluck Gozbeth akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta SumbawangaJoh Makini akiwa jukwaani akitumbuiza kwenye Tigo Fiest 2019 sumbawangaMamia ya wapenda burudani wa mkoa wa Rukwa na Mikoa ya karibu wakifurahia burudani mbali mbali zinazotolewa katika jukwaa la Tigo Fiesta saizi yako Mjini Sumbawanga