×

Gigy Money: Wanaume Muwanunulie Pedi Wapenzi Wenu- Video

MSANII wa Muziki wa Bongo Flea, Gift Stanford amewakumbusha wanaume kuwa mbali na zawadi wanazowapelekea wapenzi wao pia wanapaswa kuwanunulia taulo za kike (maarufu kama pedi) kwa ajili ya kuwawezesha wanapoingia katika siku zao iwe rahisi hususani kwenye masuala ya manunuzi.

 

Hayo aliyasema jana wakati aliposaini mkataba wa kuwa balozi wa Kampuni ya Softplus inayojiusisha na masuala ya kuuza taulo za kike.