×

JPM Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi – Video

Rais Dk. John Magufuli leo Jumatatu, Oktoba 28, 2019 amepokea hati za utambulisho za Mabalozi, Riita Swan wa Finland, Manfredo Fanti wa Umoja wa Ulaya na Meja Jenerali Charles Karamba wa Rwanda ambao wameteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa Tanzania.