×

Miraji Athuman aibuka mchezaji bora wa mwezi

Meneja Mauzo wa Vodacom Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam Angetile Martin, (kushoto) na Afisa Mauzo wa Kampuni hiyo Nancy Emmanuel wakimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1 mshambuliaji wa timu ya Simba, Miraji Athumanj baada ya kuibuka mchezaji Bora  wa Mwezi September  2019 wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, Hafla hiyo ilifanyika wakati wa mchezo wa Ligi hiyo kati ya Simba na Azam uliofanyika katika uwanja wa Taifa wiki iliyopita