×

Miss World Atua Arusha – Video

MREMBO namba moja wa Dunia mwaka 2018 Silvia Vanessa Ponce de León Sánchez kutoka nchini Mexico amewasili nchini Tanzania na Kupokelewa na Wenyeji wake katika Mkoa wa Arusha.