IMEKLUWA gumzo tokea Rosaree na Timmy Tdat walipotoa ngoma yao ya VITAMIN U ambapo wengi wanalalamika kutokana na video hiyo kudaiwa kutokuwa na maadili ya kitanzania kutokana na mavazi pamoja na jinsi walivyokuwa wanashikana maungo yao ya mwili.
Swali linakuja,Je wakulaumiwa ni BASATA au Rosaree? kwani hakuna hatua yoyote ilochukuliwa kutokana na wimbo huo wala msanii husika.