Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amesema Chama chake hakitoshiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na hakiutambui uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Mwezi huu mwishoni kwa madai ya ukiukwaji wa Haki na Sheria katika mchakato wake.