×

Hotuba ya Waziri Mkuu… Spika Aahirisha Bunge Hadi 2020 – Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameahirisha mkutano wa 17 wa bunge hilo na shughuli zake hadi Jumanne ya Januari 28, 2020.