×

Mfilipino Atakayechapana na Mwakinyo Atua Dar – Video

Bondia bora kabisa ambaye pia anashika namba mbili katika viwango vya ubora nchini Ufilipino, Arnel Tinampay baada ya kuzidiwa na Manny Pacquiao akishika nafasi ya kwanza, tayari amewasili nchini hii jana ikiwa nisehemu ya maandalizi yake dhdi ya Mtanzania Hassan Mwakinyo.