×

Ulipofikia Uwanja Wa Simba, Mashabiki Waweka Kapeti – Video

Ujenzi wa viwanja viwili wa Klabu ya Simba Bunju jijini Dar es Salaam unaendelea kwa kasi huku wa nyasi asili ukiwa upo hatua za mwisho, na wa nyasi bandia ukiendelea kuweka nyasi hizo.