×

Aliyekatwa Ulimi Arudi Kutoka India, Hali Yake Bado Tete – Video

Hali ya Salim ambaye anasumbuliwa na kansa ya ulimi na koo hali iliyopelekea kukatwa ulimi wake, amerejea nchini akitokea India alikokuwa amepelekwa kwa ajili ya kufanyiwa matibabu lakini cha kusikitisha zaidi ni kutokana na hali yake kutokuwa nzuri baada ya kutokea kwa tundu lingine la pili katika shingo yake.

 

Unaweza Kumchangia Salim kupitia Namba (0679934962) Jina Fatma Ahmed.