Nafasi ya kazi Halmashauri ya wilaya ya Manyoni, Agruculture officer
Global Publishers
August 28, 2020
0 Comments

| POST |
AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS II) – 1 POST |
| POST CATEGORY(S) |
FARMING AND AGRIBUSINESS |
| EMPLOYER |
Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni |
| APPLICATION TIMELINE: |
2020-08-27 2020-09-10 |
| JOB SUMMARY |
N/A |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
i. Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio; ii. Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio; iii. Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora; iv. Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti; v. Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilimo; vi. Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki mwezi, robo na mwaka ngazi ya Halmashauri; vii. Kukusanya takwimu za mvua; viii. Kushiriki katika savei za kilimo; ix. Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na teknolojia sahihi za kutumia; x. Kupanga mipango ya uzalishaji; xi. Kupima uotaji wa mbegu na kusimamia taratibu za ukaguzi; xii. Kuwatambua wasambazaji wa pembejeo; xiii. Kutoa mafunzo ya lishe kwa wakulima; xiv. Kufanya vipimo vya ubora, unyevunyevu na uotaji wa mbegu; xv. Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea; xvi. Kusimamia shughuli za kila siku za majaribio ya kilimo; xvii. Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya udongo na maji; xviii. Kutoa ushauri wa kilimo mseto; xix. Kuandaa sheria ndogo za hifadhi ya mazingira; na xx. Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga, matunda, maua na viungo. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE |
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita (VI) wenye stashahada ya kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION |
TGS B |