
Klabu ya Simba imefuzu Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika na kujihakikishia kuongoza kundi, baada ya kuifunga AS Vita katika Uwanja wa Mkapa na kufikisha pointi 13.
FT: Simba SC 4-1 AS Vita
Miuissone 30′
Zemanga 32′
Chama 45′ 83′
Bwalya 66′
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx