×

🔴#LIVE: Rais Samia Anashiriki Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Uhuru Wa Tanzania Bara..

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo 9 Dec 2021 anashiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya UHURU wa TANZANIA BARA, zinazofanyika katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam.

Leave a Comment