×

Kutoka Ukraine: Mtanzania Aliyepo Huko Azungumza -Video


Mtanzania aliyepo Nchini Ukraine kimasomo, amezungumza akiwa kwenye handaki na chombo cha habari cha nchini Marekani, VOA ambapo ameeleza hali ilivyo nchini humo kufuatia mashambulizi yanayoendelea.

 

Mpaka sasa zaidi ya wanajeshi 40 na raia 10 wa Ukraine wameripotiwa kupoteza maisha taarifa ambazo zimethibitishwa na msaidizi wa Rais wa Ukraine.

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment