×

Ahmed Ally: Simba Itapata Ushindi Ugenini na Kuitapisha Damu Al Ahly – Video


Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema licha ya Simba kutoa sare dhidi ya Al Ahly ya Misri ya mabao 2-2, Simba itapata ushindi ugenini na kuitapisha damu timu hiyo kubwa Afrika nyumbani.

Leave a Comment