×

Vifo Vya Ajali Mbeya Vyaongezaka, Wafikia 14, Majeruhi Waumia Vibaya Kichwani, Daktari Aeleza – Video

Watu 14 wamepoteza maisha na wengine 40 kujeruhiwa baada ya Basi la Abiria la A-N Coach (T282 CXT) lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Tabora, kupinduka wakati likikwepa Lori na kuingia mtaroni

Kamanda msaidizi wa Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, Wilbert Siwa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo Septemba 6, 2024

Leave a Comment