Shabiki wa Klabu ya Yanga amefunguka kupitia GLOBAL TV mara baada ya uongozi wa klabu hiyo kuachana na aliyekuwa kocha wao, Miguel Gamondi.
Shabiki huyo ameeleza kuwa maamuzi waliyoyafanya viongozi ni mazuri na wanatarajia kupata kocha bora zaidi ya aliyeondoka.